Karibu mtazamaji kwa kipindi CHEE LIVE. Kipindi kinachopeperushwa - TopicsExpress



          

Karibu mtazamaji kwa kipindi CHEE LIVE. Kipindi kinachopeperushwa moja kwa moja hapa QTV Kuanzia 6.40am hadi 9.00am. Mada ya leo ni: KAZI NA PESA Na swali la leo ni: IPI BORA UNAPOFANYA KAZI ULAYA,KAZI YA OFISI INAYOLIPA PESA KIDOGOAU YA USAFI INAYOLIPA PESA NYINGI? Tuma maoni kupitia arafa ukianza na maneno CHEE LIVE kwa nambari 20505. Pia waweza piga simu kwa 0722 200 776 na kutueleza ulipo, HAPO VIPI
Posted on: Fri, 04 Oct 2013 03:45:13 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015