Katika maskani ya Star FM, Masuala kutoka Mkoa wa Kaskazini - TopicsExpress



          

Katika maskani ya Star FM, Masuala kutoka Mkoa wa Kaskazini Mashariki ambapo unapiga msasa biashara haramu ambapo Maafisa walinasa bidhaa kama vile Maziwa ya poda, Sukari na vifaa vingine...ambazo zilikuwa zikitolewa kutoka nchini jirani ya Somalia..Serikali inapinga biashara hiyo haramu huku wengi wakikashifu hatua hiyo kwa kusema kuwa bidhaa humu nchini ni ghali mno. Je unakubaliana na wazo hilo na tupe maoni yako.Jiunge nami Rachuonyo D katika maskani ya Star FM.
Posted on: Wed, 18 Sep 2013 07:48:25 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015