Kobe, Kinyonga, Panya, Sungura, Jongoo na Chura; Wote hutembea - TopicsExpress



          

Kobe, Kinyonga, Panya, Sungura, Jongoo na Chura; Wote hutembea japo kila mmoja ana Mwendo kasi wake; Lakini wote hufika waendako; Spidi ya mtu mwingine isikutishe wala mafanikio yake yasikunyime Amani katika kusonga mbele. Amini kila Mtu ana Riziki yake; Na Mungu humpa kwa wakati wake; Tafadhali usikate Tamaa; Mtangulize Mungu katika mambo yako yote naye atakusikia kwani maandiko yanasema OMBENI NANYI MTAPEWA, BISHENI NANYI MTAFUNGULIWA, TAFUTENI NANYI MTAONA na kila Amuombaye Mungu kwa bidiii atafanikiwa tu. UJUMBE HUU NI SADAKA nimekupa na ww Mpe umpendaye. MUNGU akupe NURU zake ktk maisha yako AMEN
Posted on: Tue, 01 Oct 2013 19:23:22 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015