Kuna dada m1 alichumbiw na wa2 - TopicsExpress



          

Kuna dada m1 alichumbiw na wa2 wanne; 1.msanii 2.mvuvi 3.mwindaji 4.doctor Lakin dada hyo albk na utata katk kubhagua mume. siku 1 dada huy aliend mton kufua,ghafla altokea mamb akamchukua akazam nae majin,palepal msanii aka2nga wmbo akaanz kumwmbia mamb akatokez kichw juu,palepal mwndaj akampga rixac mamb akaf na dad alibki akitapatap ndan y maj paleple mvuvi akaogelea kwnd kumuokoa akamlet nch kav,paleple doctr akamtbu majerah mpka akapona. swal linakuj je n nan anayestahl kumuo kat y watu hao wanne? comment nione upeo wko w kufkr katk hli,
Posted on: Fri, 21 Jun 2013 18:58:57 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015