Leo nimepanda mat na manzi wa mine tukienda out... so mat ilikuwa - TopicsExpress



          

Leo nimepanda mat na manzi wa mine tukienda out... so mat ilikuwa na viti viwili tu empy. Mbele kwa dere na hapo kwa conda.. manzi akaketi mbele na kibudah flani... Budah akaletea manzi wa mine mastori... nikathink ni zile za kiuzazi tu... Ah! Nikaona wakiexchange namba but nkajifanya Fala. Akatoa wallet akaspoil manzi wa mine.... mimi kulenga tu.. So afta kushuka tukienda park, simu ya manzi wa mine ikaring.. imeandika.. Ancle J. Baada ya kutalk, akanisho she is urgently needed! Akanikiss kisha akatokomea... Sasa baada kubangaiza solo kwa park, nkaamua niende kwa hoteli fulani... Kuingia ndani, Nikaona manzi wa mine na kile kimzee kilikuwa kwa mat wakila Kuku... Kimzee kunicheki kikaambia waiter... Pea huyo kijana Kuku...Bill kwangu Nikule Kuku au nizushie huyu Mzee??
Posted on: Sat, 26 Oct 2013 13:58:04 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015