Mechi ya kesho itakuwa ni ya kufunguka kwa vilabu vyote viwili vya - TopicsExpress



          

Mechi ya kesho itakuwa ni ya kufunguka kwa vilabu vyote viwili vya Simba na Mtibwa maana vina wachezaji walioko vizuri sasa hivi na ufundi mwingi utakuwa kati kati ya kiwanja Awadh Issa Shaban Nditti na fundi wa kuufanya mpira anavyotaka Marlone Kisiga na kwa upande wa Simba wao wataongozwa na kiungo anaekuja vizuri sasa hivi nchini Said Ndemla pamoja na Classment wangu alie kwenye fomu yake sasa hivi Jonas Gerrald Mkude dogo kipaji toka moyoni konga nyoyo na kwa wale waliosoma Hananasiph hawatapingana na hili
Posted on: Fri, 13 Sep 2013 21:01:26 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015