Mkaona simu yangu marudufu batry xmeshikiliwa na bamba mbao haina - TopicsExpress



          

Mkaona simu yangu marudufu batry xmeshikiliwa na bamba mbao haina kifuniko batons ni vajo lakini zina mimba skrean imenifungia jicho fm inashika geto pekee inachukua mem ina virus imebakish kontakts kushipiliwa na supaglue na meso na pin na haina mouth piec ear piec ni extanal. Mbaka nambiwa ikona candal kwa tools in case igonge batry low nikuiasha mbaka game ya snake imekufa na bounse imetoboka na gari ya safari raly ni probox GOD si hio ni ma2si nipe ta maana ua nyamazishe
Posted on: Wed, 31 Jul 2013 19:03:01 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015