Napenda kuchukua nafasi hii kwa dhati ya moyo wangu kuwashukuru - TopicsExpress



          

Napenda kuchukua nafasi hii kwa dhati ya moyo wangu kuwashukuru marafiki zangu waliopata nafasi ya kuja kuniona nyumbani kwangu, waliotuma Tigo-pesa na M-pesa kwa ajili ya kununua matunda na juice, sina cha kuwalipa ila MUNGU akawajaze baraka na upendo uendelee si kwangu tu pia hata kwa wengine. Sikutegemea kupata faraja hii nakosa namna ya kuwapa shukrani zangu ila juenitu kuwa pale mlipopunguza mtazidishiwa mara dufu Kwasasa nina nafuu kubwa sana naweza tembea na kufanya mazoezi madogo madogo ila naamini nitapona tu nawashukuru kwa maombi yenu wapendwa!!!! I LOVE U ALL
Posted on: Mon, 08 Jul 2013 17:14:12 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015