STORY "DAMU YA KICHAA" Na kifaru,BONYEZA LIKE. Upate yote. - TopicsExpress



          

STORY "DAMU YA KICHAA" Na kifaru,BONYEZA LIKE. Upate yote. iliposhia pat anaanza safar kuelekea hotern walipopanga wakutane na jen...ENDELEA Baada ya kufka hotern pat hakumuona jen ikabd ampgie cm kumbe jen alikaa v i p .akamuelekeza had akafka.ilikua furaha kwa jen kua na pat ucku ule.aliitwa muudumu pat akaagza maj jen juic. Wakat wakiendea kunya jen aliomba kujua kwa ufup histolia ya pat.pat akamwambia jen aongee yake ndipo yy amalizie.jen akaanza kujtambulsha..."naitwa jen miaka 21.babaangu mfanyabiashara wa magar mama ni mwasibu wa crdb bank mkoa moro na npo chuo mwaka 1.nafurah kua nawe pat muda huu mbali na kutoa shukran kwa ulontendea nna meng juu yako.jen akamalza kujtambulsha sasa n pat.naitwa jospat (pat) miaka 25 elimu drs 7 kaz konda kama ulvyo niona .mama hana kaz wala baba. Jen akaulza wanaish pamoja? Swal ambalo llmfanya pat aangushe choz mbele ya mrembo.jen alshangaa kuona p anatoa mchoz akamuulza kinachomcbu ndipo pat akafunguka"miaka ming ilopta mama akiwa kijjn alibakwa na kichaa hali ilopelekea kumpata mtt wa kiume napenda kukwambia jen mm ndo ile "DAMU YA KICHAA" na kwa bahat mbaya baba alifark baada ya kula chakula chenye sumu alichookota jalalan mi nikiwa mdogo sana kwa sasa npo huku natafuta rzk yangu hapa mjn na mama mi ndo tegemeo lake.ilikua huzun kwa jena na pat pia hali ilopelekea jen kudondosha choz baaz ya watu walokua pale walishangaa kuona wawl hao wakidosha choz kwa zamu hawakuingilia kwan hayakuwahusu jen alionekana kuhuzunishwa sana na kisa cha pat hal ilomfanya pat aanza kutulza jen.jen altoa reso na kujfuta machoz kisha kimya kikatawala miongon mwao maj na juic havkunyweka tena.kuna kitu jen altaka kumwambia pat alimuomba ucku ule waenda had pale pat anapoishi ...je nini kiliendelea fuatlia itaendelea
Posted on: Thu, 27 Jun 2013 13:21:14 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015