Tarifa ilotolewa na makamu msemaji wa polisi ya Burundi bwana - TopicsExpress



          

Tarifa ilotolewa na makamu msemaji wa polisi ya Burundi bwana NKWIRIKIYA PIERRE, mwislam 1 aliuwawa kwenye vurugu zilizo fanyika ndani ya jela kuu ya mjini Bujumbura ijulikanayo kama Mpimba sikuya Eid, baada ya wafungwa walio asi kuwateka wa Islam 94 kutoka inje ya jela walokuwa wamekuja kujiunga na wenzawo wa Islam walofungwa ili kusali sala ya Eid kwa pamoja. Mwislam huyo alo kufa alipatwa na risasi zilopigwa na polisi wa kuhami, pindi walipo ingiya ndani ya jela ili kuhami wa Islam ambawo walikuwa wamekamatwa mateka na kundi lawafungwa walokuwa wameasi. Inalilah wainalilah rajiun, mwenyezimungu amuweke mahala pema ndugu yetu mwislam alopoteza maisha yake kwajili yakwenda kusali swala ya Eid.
Posted on: Sun, 11 Aug 2013 09:16:08 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015