Tuchangamke Kidogo..... 1. Hata panga iwe kali - TopicsExpress



          

Tuchangamke Kidogo..... 1. Hata panga iwe kali kiaje, haiwezi kata kiu. 2. Hata uwe kinyozi hodari huwezi nyoa vichwa vya habari. 3. Hata nyani awe hodari vipi, hawezi rukia branch ya benki. 4. Hata uwe fundi aje, huwezi repaire breaking news. 5. Hata uwe msafi aje, huwezi osha vyombo vya habari. 6. Hata historia ya marehemu iwe nzuri, haipiziwi makofi. 7. Hata uzame vipi kwa maji, huwezi toka na samaki katika kidimbwi cha mapenzi.
Posted on: Thu, 20 Jun 2013 16:05:04 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015