DEAR GRANDPA******* *********** it was 3am 8th,july 2011....first - TopicsExpress



          

DEAR GRANDPA******* *********** it was 3am 8th,july 2011....first two phone calls i did not answer...then third one i answered, it was my grandpa i just called to tell you incase you hear am aint there dont ask where am gone just pray for me ****and please during my burial i want you to be there**and do one of you art pieces ***tears ***i felt me soul jumping outta my skin......and i said this to himplease dont leave me wait for me i am coming to see you*****he replied in a weak voice crying ****usikose kuja i will wait for you ***i was dead but GOD gave me this time to give you my last wishes....my grandson**********************************************************I was in mombasa and believe it my grandpa waited for me i went found him in i.c.u and we talked a lot blessed me God works miracles on sunday one pm i went to tell him am going to catch a bus back to work but we were not in the i.c.u but on discharge patient ward i felt strong but he was weak when i told him am leaving he just shed tears and i too started comforting him he told me travel safe i could not stand seeing his tears i left. he stayed for another two days and he went to rest with the ancestors whenever u see me you see him he inspired me to be who i am today am proud Ni safari ya maisha chini ya mbingu, udai kuzaliwa majaliwa, kuishi bahati kutunikiwa kifikia hitimisho uwa sio kikomo cha kusafiria nyota yako mbali ni pumziko kuanza maisha mapya ya ufunuo. chini ya mbingu na ardhi yapo mengi Ila mbinguni upo uzima wa milele, mtu si kitu Ila ubinadamu ndo utu utazamwa vitendo sio maneno tu....... twajua kupenda Ila mola akipenda zaidi hatuna budi Ila kulieshimu angano panapobidi, upo wakati wa kila tukio. kupanda na kuvuna ,kutawanya kukusanya, yote yameandikwa na kalamu ya wino usofutika. kama kiumbe utahisi vipi ukiachwa na aliyekupa uhai na moyo kuishi? uwa ni wakati mgumu ni kama kukosa kipande cha nafsi ........uhuru wa nafsi ujanzwa na upendo ulojawa na hekima******** *Ni wiki tatu zimepita toka nipokee simu yako, kunipa agano lako la mwisho baada kulihabiri jahazi la maisha miaka mingi. sikutarajia muda ulikuwa ushawadia kuliengesha dau la maisha ukingoni ,ni bahari ya maisha na sote tuwasafiri...... dunia mapito! udai waraka nusu ya kuonana,***** dhaabu maarifa zipo Ila midomo inenayo maarifa johari isopatikana...... umekuwa nguzo maishani mwangu kwa mema malezi na mafunzo sitokusahau umelala usingizi usonjua wakati wa kuamka..... kimwili hatupo nawe Ila akili nafsi na moyoni upo. naaminia ipo siku tutajapatana ya chini ya mbingu tutakumbushana funzo kuu kwa mjukuu ulonipa kutii agano la mwenyezi mungu......... masomo mengi ya maisha ulinifundisha, nayaifadhi akilini mwangu..... kama nyota ya alfajiri kiumbe nahitaji kungaa...... kama uzima wa milele uwe wangu ufunuo .........kama enzi za nitume niadhimishe langu agano .......mbele ya kiti cha enzi nivishwe langu taji..... dua njema nakusalia mola akuweke pema peponi kwa hekima Penye njia bila udhia ipo njia...... yalipo malengo na mwelekeo kufikia hekima yako imeniingia moyoni......... maarifa yakanipendeza nafsi..... busara itanilinda ufahamu utaniifadhi..... nashukuru mungu umekuwa mwalimu wangu wa mawaidha miahani mwangu pengo uloliwacha moyoni mwangu hakuna wa kuliziba*********on 20th my grandpa died after i travelled back R.I.P....DAVID M.MUTHUKUI... what you have just read is my letter to him ************my grandpa meant love to me ******i seen no other lover in life Citation
Posted on: Sat, 19 Jul 2014 04:55:56 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015