Habar wakuu Naomba kuleta kwenu leo ukweli wa mvutano na visa vywa - TopicsExpress



          

Habar wakuu Naomba kuleta kwenu leo ukweli wa mvutano na visa vywa arusha kisiasa ambapo zamani lilikuwa jiji zuri sana kwa mikutano, watalii na uzuri mwingi tofauti na sasa... KISA 1. Nikiwanda cha general tyre east africa ltd, kiwanda kilikuwa kinafanya kazi vizuri nazaidi ya wafanyakazi 2000.... 2. Lakini lowasa akaingiza masilaya yake mbele, akaamlisha board iseme kiwanda kimefiliska akiwezi kujiendesha kabisa.... 3. Kikaombewa mkopo wa sh billion 50 toka NSSF kwa ajili ya kukifufua (ukatoka vizuri tu na kuliwa wote na lowasa) NSSFwill automatically acquire shares in GTEA as part of compensation for a loan ofUSD 30 (approximately 49bn/-) million it advanced to the company in 2005. The German firm sought and acquired a loan of USD 20 million (approximately 36bn/-) in 2005 from NSSF, with guarantee from the government torevitalize the factory, but failed to make any headway.The amount is said to have now shot up to over US $ 24 million(approximately 42.4bn/-) in accumulated interests. 4. Baada ya mkopo wa NSSF Kiwanda kikaanza kazi vizuri tuuu, but baada ya muda kikafilisika tena na kuwa mfilisi (Accordingto the minister, the government would have lost USD 20 million (approximately36bn/-) if it declared the company bankrupt and would have to pay USD 28million (approximately 44.8bn/-) to acquire shares of Continental AG.) 5. Baada ya hapo kikatakiwa kuuzwa ili kulipa madeni yote, na mnunuzi alikuwa indirect ni lowasa TATIZO * Ilikiuzwe anatakiwa DED, Meya na Mbunge wa arusha mjini walidhie na kuwekwa sahihi ya uuzaji (LEMA HASINGEWEZA KUWEKA SAHIHI- NDIO TATIZO KUBWA) * Ndio maana lowasa akampandikiza DR Batilida kugombea ubunge arusha na mavulugu yote yale yakatokea mpaka lema kusimamishwa ubunge n.k. * Baada ya watu kujua KISA hiki juu kilichofanyika, Wakubwa wakaja na funika kombe wana....... kama kuzunga vile soma hapa (05/02/2013 Kiwanda cha matairi “General Tyre Arusha” kinafufuliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameambiwa kuwa Kiwanda cha Kutengeneza Matairi cha General Tyre cha Arusha kinafufuliwa na kitaanza kuzalisha matairi ifikapo mwishoni mwa mwaka huu.) * Sasa baada ya kufeli kukinunu kiwanda hiki na makesi aliyoyaagiza kufunguliwa kufeli arusha/lema/chadema, sasa kaamia mwanza na mbeya kuna vitu anatafuta nitavileta hapa soon * Mh lowasa garage ya tegeta ni kubwa sanaaaaaaaa nainasaidia sana wananchi, achi watu wajipatie kipato pale kuwaondo pale iliuchukue eneo lile lote Mungu apendi baba PART TWO loading...................... Ili yote haya yaishe kabisa ni mhimu tigatinga la kukanyaga wanyima haki na mafisadi lisajiliwe kwa namba T2015CDM Siku njema.
Posted on: Sat, 06 Jul 2013 10:25:51 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015