Mashahibu wangu,mwaamba je? natumai mmeshida vyema, mie pia sote - TopicsExpress



          

Mashahibu wangu,mwaamba je? natumai mmeshida vyema, mie pia sote tumpe Mola utukufu na sifa,sio kawaida. Hata hivyo,mna suala lilinighadhabisha ghaya ya kughadhabika. Kama walivyonena wahenga,Livushalo li gogo.Ingawa nguo ya kuazima haisitiri matako,Ya nini umsaidie mja, Kisha utembee kwa madaha kifua mbele,ukimsema kwamba isingalikuwa ni msaada wako hangalifika umbali huu kana kwamba wewe ndiye Mola? Nifae juani,ijapo mvua nitakufaa pia.Tenda wema wende zako,aonaye kulikositirika atakubariki. Wacha majitapo kakangu.Alamsiki.
Posted on: Thu, 25 Jul 2013 18:36:48 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015