Nakumbuka nikiwa mtoi,ROR si nilikuwa ngombe ya - TopicsExpress



          

Nakumbuka nikiwa mtoi,ROR si nilikuwa ngombe ya mseveni damu. Siku moja tukaenda na cuzo yangu kwa duka akanunua SET yaani Seasonal Elnino Terminator AkA pad.Mimi na kiherehere yangu nimeuliza "nini hiyo umebuy?" cuzo yangu akanichocha "ni biscuits beshte yangu alinituma ni mnunulie."Mimi nikaamini viujinga kama mjahudi amembao. Nilikuwa na kachwani kwa mfuko,mimi huyo mpaka kwa duka ile yenye iko karibu na M-Pesa.... MIMI;{nikipoint pad}unauza pesa ngapi hiyo? MWENYE DUKA:Ni 45/-nikuuzie?na nany amekutuma? MIMI:Nipee,ni antie yako amenituma. MWENYE DUKA:{akinipea}Na ukifika usalimie antie na umwambie kunyesha si kitu ya aibu. MIMI:{nilikuwa najua kunyesha ni kutema mate ukiongea}Kumbe pia wewe unaonanga venye ananyesha mbele ya watu yaani ata unaona ikimwagika inaweza ata jaza jug,kwanza akikasirika ananyesha mpaka inafika chini ikiwa drop full full.{nkaenda} nikafika kwa nyumba haraka haraka nimeshaa weka chai nikakalisha kamti chini nikule...ustake jua venye nlibonda hehe Admin #Puffer
Posted on: Mon, 30 Sep 2013 06:23:29 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015