Bob hakuwa anachukulia kuwa Haile Selassie I ni mungu, bali The - TopicsExpress



          

Bob hakuwa anachukulia kuwa Haile Selassie I ni mungu, bali The manifestation of Jesus Christ just like all twelve Tribes of Israeli Rastafari believes. Haile Sellasie kuja kwake ipo mpaka kwenye bible kuwa there is a special man will come in Ithiopia and Ithiopia will soon praise God. Selassie ni mzaliwa wa 225 kutoka kwa malkia sheba ( makheda) na Solomon aliyekuwa mfalme wa Israel. Selassie alikuwa wiseman na ana tuzo ya kiongozi bora wa karne. Hakuna mtu ambaye anafuatilia historia ya mtu mweusia akaacha kumjua His Emperior Majesty, aliishi maisha kama mkristu bora, kabla hajazaliwa alipewa tittle kama Lion Of Judah, king of kings and Elect of God. Alizaliwa kwa maajabu na alitabiriwa na watu wanaosoma nyota kuwa atatoka mtoto wa pekee ethiopia kwa mwaka ule. Selassie alipigania usawa na haki ya mwafrika na kila mtu duniani, alishinda vita dhidi ya Italy ilipokuwa chini ya Musolin na hata Roman Catholic ilikuwa defeated. Selassie ameifungua dunia kuwa Ethiopian Orthodox ni kanisa la kwanza la kikristu na sio Catholics kama wanavyoclaim. Hakuna asiyejua how Selassie alivyotunza sanduku la agano, kuwatoa weusi utumwani, kuweka hekalu kubwa ethiopia na kuwarudisha weusi waliokuwa wanateseka Carribean. Sioni ubaya kupewa tittle ya Mesiah coz hata Yahshua (YESU) alipewa tittle hiyo kwa matendo yake. Selassie alipoenda kutembelea jerusalem waisraeli walimsujudia na kusema mwana wa Daudi amerudi, na endapo angezaliwa Jerusalem andiko lingetimia la kwake kuitwa messiah na waisrael kwa kuwa kila utabiri wa mesiah aliutimiza. Hata Yahshua waisraeli hawamwamini kwa kuwa hakuzaliwa mji mkuu kama ilivyotabiriwa na Isahya. Kwa Bob kumuheshimu Selassie sio vibaya kwa sababu amemuheshimu na Yesu kwa kuwa Selassie alifundisha kumpenda Yahshua pia. Bob alianza kumheshimu Selassie alipooteshwa ndoto ya Mtu aliyevaa kofia amemvika pete ya gold ina Simba wa Yudah, na bob alipomwona Selassie alimtambua maana ndiye aliyemtokea kwenye ndoto.
Posted on: Fri, 09 Aug 2013 10:21:38 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015