#CHEO_DHAMANA #SEHEMU_YA12 Kesho Yake Yule Dada Alini Vizia - TopicsExpress



          

#CHEO_DHAMANA #SEHEMU_YA12 Kesho Yake Yule Dada Alini Vizia Sehemu Nilivo Fika Tu Akajito Keza Nika Sikia Sauti Iki Sema Hamadi Wajifanya Chizi Kumbe Umekuja Kufanya Kazi Ya Upelelezi Hapa! Alisema Yule Dada! Mh! Nilishangaa Sana Ilibidi Ni Lengee Nimsonge Lee Ili Kumsikiliza Nika Jua Huyu Atakuwa Ananijua Fika Nili Mfata Alini Fungulia Mlango Wa Gar Yake Akini Nyooshea Mkuno Kuashiria Kwamba Niingie Kwenye Gar Ile Nili Ingia Kisha Tuka Aza Safari Ya Kurudi Nyumbani Nilivo Fika Pale Kwake Nimwana Mke Mwenye Ela Mana Mjengo Wake Mkali Kinoma! Basi Alini Karibisha Ndani Huku Mm Nikiwa Na Hofu Kwamba Huyu Dada Asije Kuwa Ni Mmoja Kati Ya Majambazi Wale Kwani Nilisha Shudia Mauwaji Sasa Isije Kuwa Ndo Wameni Tafuta! Kisha Nika Aza Kumhoji! Mh! Ulini Juaje Akanambie Mambo Yote Aliyo Ambiwa Na Martha Basi Nika Jua Kwamba Hapa Hakuna Siri Tena Ila Nilifurahi Kusikia Kwamba Yule Ni Rafiki Yake Na Martha Basi Nili Mwomba Mm Kurudi Nyumbani Aka Sema Hamadi Huwezi Kuondoka Iviivi Kabla Huja Ni fanyia #ITAENDELEA Lk
Posted on: Wed, 27 Nov 2013 14:00:11 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015