Haki Jameni hii plot nakaa iko na vituko si haba,infact mi - TopicsExpress



          

Haki Jameni hii plot nakaa iko na vituko si haba,infact mi nitahama. imagine saa hii jamaa anatwangwa sawasawa coz amepatwa na mpango wa kando ndani ya choo! halafu sasa kinacho niudhi is thi fact dat keja ya huyu jamaa iko opposit na nyumbangu ,kelele nazo zimezidi 2 sana na matusi nayo ni ile mbayambaya sa nashindwa nifanye?coz kesho ni job lazima nilale bt hawa watu mazee hawanyamazi tel mi wat can i do 4 sure?
Posted on: Mon, 24 Jun 2013 19:03:00 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015