Katika maskani ya Star FM, Masuala ya jamii ambapo tunapiga msasa - TopicsExpress



          

Katika maskani ya Star FM, Masuala ya jamii ambapo tunapiga msasa uhusiano wa Maafisa wa polisi na raia wa kawaida...Visa vingi vimeshuhudiwa ambapo waendeshaji boda boda mjini kisumu waliwavamia na kuwajeuri maafisa wa polisi na kisa kingine mjini Nakuru Dereva na makanga wake walimvamia afisa wa polisi baada ya kutofautiana.....Katika maskani ya Star FM, tunauliza ni kwa nini uhusiano baina ya polisi na raia inazidi kuwa mbaya zaidi....na Je kuna lolote la kufanywa hili uhusiano huo ufaulu. Tupe maoni yako...
Posted on: Tue, 03 Sep 2013 08:12:13 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015