"Namshkuru Mungu kwa yote ulonitunuku katika maisha yangu. Hakika - TopicsExpress



          

"Namshkuru Mungu kwa yote ulonitunuku katika maisha yangu. Hakika kama ningeambiwa nirudie tena utoto, basi ni dhahiri ningepita njia hii nipitayo leo. Nimekuwa na furaha kila leo kuhusu hili. Nimekuwa na marafiki na ndugu wengi kwa sababu ya hili. Narudia tena asante sana Mungu kwa yote nilopitia maishani mwangu na asante pia kwa ulonipangia nimalizie. Hakika hakuna kama wewe. Asante ALLAH (s.w) hukuzaa wala hukuzaliwa na hakuna mfano wako."
Posted on: Wed, 02 Oct 2013 19:00:00 +0000

Trending Topics



k haram prisoners for chibok girls.

Recently Viewed Topics




© 2015