Nifanye nini jameni? Nikikonda mwasema nina ukimwi. Nikinona - TopicsExpress



          

Nifanye nini jameni? Nikikonda mwasema nina ukimwi. Nikinona niende slim possible. Nikisota nilirogwa na mchawi akafa. Nikibarikiwa na hela mwasema nimejoin illuminati. Nikiwa na chali mwasema mi ni player. Nikikosa chali mwasema mi si kasupuu. Nikitembea kwa miguu mwasema nimesota. Nikiwa na gari ati naringa. Nikienda church eti najifanya holy joe. Nikikosa kwenda mimi ni mtenda dhabi. Nifanye nini jameni. Arrgh niacheni!
Posted on: Mon, 11 Nov 2013 11:49:07 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015