SHUGHULI ZITAENDELEA KAMA KAWAIDA. Mkuu wa mkoa wa Dar es - TopicsExpress



          

SHUGHULI ZITAENDELEA KAMA KAWAIDA. Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick, amesema serikali imechukua tahadhari zote katika kuhakikisha shughuli zote za wananchi za kibiashara zinaendelea kama kawaida wakati wa ziara ya rais wa Marekani Barack Obama... Aidha mkuu huyo wa mkoa amesema katika kipindi hicho wafanyabiashara kutoka mikoani na ndani ya jiji wataendelea kuingiza bidhaa zao katika masoko kama kawaida bila kuzuiliwa, na kwamba si barabara zote zitakazofungwa na kutolea mfano wa barabara itakayofungwa kuwa ni barabara ya Nyerere ambayo wageni wengi hutumia na kwamba ziara hiyo haitaathiri maonesho ya 37 biashara maarufu kama 'Sabasaba' yanayoendelea katika viwanja vya Mwl. Julius Nyerere...
Posted on: Sun, 30 Jun 2013 08:42:48 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015