SOURCE JF Butiku Abadili Mawazo Sasa anataka Serikali Mbili!! - TopicsExpress



          

SOURCE JF Butiku Abadili Mawazo Sasa anataka Serikali Mbili!! - According to the dataz, katika kikao kimoja cha mwisho cha Tume ya Katiba nusura Warioba na Butiku, washikane mashati baada ya Butiku kumgeuzia kibao Warioba na kumwambia wazi kwamba Wananchi wengi wanataka Serikali mbili sio Tatu kwa hiyo na yeye sasa amebadilika anataka Serikali mbili, - The dataz ni Warioba kumjia juu kwamba haiwezekani na haitatokea Serikali Tatu halina mjadala tena, according to the dataz wazee wazimaa walianza kusogeleana ili washikane mashati, wajumbe wengine wakaamulia, lakini wakaendelea kurushiana maneno mazito sana kila mmoja akijigamba kuteuliwa na Rais JK kwa hiyo atamshitaki mwenziwe kwa Rais. Lakini baadaye walisawazishwa na kutulia.
Posted on: Thu, 12 Sep 2013 16:42:20 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015