i lyk comedy show EATV.segment ya mazuzu....wanatongoza demu bila - TopicsExpress



          

i lyk comedy show EATV.segment ya mazuzu....wanatongoza demu bila technic wakaenda kuulizia kwa mtu mbona tunaongea na yule dada hatujibu wakaambiwa nendeni mkamuimbishe masawe anamwambia kiwewe lete key wakaanzakuimba mabatamadogo madogo wanaogelea...demu akawauliza nyie vp mmechizika wakajibu kaa kimya tunakuimbisha tukupate tuoe kabisa.wakaona ajaingia line wakarudi kwa mshauri wao akawaambia muimbishe na kumsomesha wakamwambia sema A kubwa demu nyie vp tulia tunakuimbisha na kukusomesha.......
Posted on: Fri, 02 Aug 2013 22:15:41 +0000

Trending Topics



Saw the saddest thing this morning. If you are an animal lover
UFO Under Full Observation had 2 sightings while recording for

Recently Viewed Topics




© 2015