HALI YA HATARI: Ujumbe wa leo Tarehe 20-08-2013 sawa na Tarehe 13 SHAWWAL 1434.{jumanne} IKUMBUKE SIKU HII{QIYAMA} Quran: Surat-Abasa "Basi utakapo kuja ukelele,. Siku ambayo mtu atamkimbia nduguye,. Na mamaye na babaye,.Na mkewe na wanawe.Kila mtu miongoni mwao siku hiyo atakuwa na lake la kumtosha.Siku hiyo ziko nyuso zitazo nawiri,. Zitacheka, zitachangamka;. Na nyuso siku hiyo zitakuwa na mavumbi. Giza totoro litazifunika. Hao ndio makafiri watenda maovu." ALLAH tunusuru na vitimbi vya Siku hiyo.
Posted on: Tue, 20 Aug 2013 07:23:22 +0000
Trending Topics
Recently Viewed Topics
© 2015